Homa ya Bonde la Ufa: Matukio na dalili za ugonjwa

Abstract

Homa ya Bonde la Ufa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Adhari zake kwa mifugo ni kutupa au kuavya mimba kwa wingi na vifo vya watoto wa mifugo pindi wanapozaliwa. Ugonjwa wenyewe una asili ya wanyama ambapo pia huweza kuenezwa kwa binadamu.

Citation

ILRI. 2018. Homa ya Bonde la Ufa: Matukio na dalili za ugonjwa. Video. Nairobi, Kenya: ILRI.

Authors

  • International Livestock Research Institute