
Homa ya Bonde la Ufa: Kuzuia na kudhibiti
Abstract
Homa ya Bonde la Ufa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Adhari zake kwa mifugo ni kutupa au kuavya mimba kwa wingi na vifo vya watoto wa mifugo pindi wanapozaliwa.
Citation
ILRI. 2018. Homa ya Bonde la Ufa: Kuzuia na kudhibiti. Video. Nairobi, Kenya: ILRI.







